Ni mwandishi na mtaalamu wa mambo ya mahusiano(Public Relations) ambapo nimemaliza uandishi wa habari kutoka (IJMC)chuo kikuu cha Dar es salaam na kufanya shahada ya juu ya mahusiano ya jamii kutoka chuo kikuu cha Cardiff kilichopo nchini Uengereza, hivi sasa ni mshauri na mtayarishaji wa matukio (event management) kupitia katika kampuni yangu na mwenzangu inayoitwa ASAM Public Relations Co. Ltd pia ni mwandishi wa habari na mchambuzi TVZ, nimeoa na mke wangu anaitwa Mwanaharusi Ali Mohamed